Epizód összefoglalója
Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya
Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya
Epizódok
Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI
MeghallgatvaMataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya
Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani
MeghallgatvaKatika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
MeghallgatvaWanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
MeghallgatvaKustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo. Skiza makala haya kufahamu zaidi.
Kenya : Raia wa Burundi waondoka
MeghallgatvaRaia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya